GMAS Logo
ServicesAcademyAboutContact
GMAS Fashion Academy

G-MAS FASHION ACADEMY

Ubunifu na Ushonaji wa Mavazi

Student Work
Mafunzo kwa Vitendo
Class Session
Darasa la Kisasa
Final Products
Matokeo Bora

iMaelekezo Muhimu

Karibu kwenye fomu ya usajili wa kozi ya Online Special. Tafadhali hakikisha umefanya malipo kabla ya kujaza fomu hii.

  • Ada ya mafunzo inalipwa kupitia namba zetu rasmi.
  • Weka Transaction ID ya muamala wako hapa chini.
  • Hakikisha namba yako ya WhatsApp ni sahihi kwa mawasiliano.

Fomu ya Usajili

📋 Maelezo ya Awali

  • • Gharama ya Fomu: TSH 10,000/= (Inalipwa kabla ya kujaza fomu)
  • • Ada ya Mafunzo: TSH 150,000/= (Miezi 3)
  • • Mfumo: Video, Notes, na Live Sessions kupitia WhatsApp/Telegram
  • • Cheti: E-Certificate au Cheti cha Karatasi baada ya kuhitimu

SEHEMU A: Maelezo Binafsi

SEHEMU B: Taarifa za Mafunzo

Kozi: UBUNIFU NA USHONAJI WA MAVAZI (ONLINE SPECIAL)

Muda: Miezi 3 | Pattern Drafting & Cutting | Fashion Business Management

SEHEMU C: Malipo

💳 Account za Malipo:

  • CRDB: 0150000PD6K00 — GMAS DESIGNERS
  • NMB: 63210007627 — AMASA NGOGO
  • M-PESA: 0758566896 — AMASA NGOGO

SEHEMU D: Masharti

  • 1. Mwanafunzi lazima afuatilie masomo ndani ya saa 24 baada ya somo kuwekwa.
  • 2. Ni jukumu la mwanafunzi kuwa na Smartphone yenye WhatsApp/Telegram na MB za kutosha.
  • 3. Kila mwanafunzi atatakiwa kutuma picha au video fupi ya kazi (Assignment).
  • 4. Ni marufuku kusambaza video au maelezo nje ya group la chuo.
  • 5. Mwanafunzi bora atalipiwa tiketi ya GFA FASHION NIGHT na kupewa TUZO.

Makao Makuu: IGWACHANYA-NJOMBE

Mawasiliano: 0758566896 | info@gmasdesigns.com

© 2026 G-MAS Fashion Academy. All rights reserved.